• Karibu katika store hii iliyosheheni Mafunzo mbali mbali kwa gharama nafuu zaidi katika lugha uipendayo.

Ifuatayo ni list ya vitabu ambayo ipo katika store yetu!

More Details👇

Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa mkombozi mkubwa kwa vijana wengi.
Zamani, ili utengeneze pesa, ulipaswa kuwa na mtaji, ujuzi maalum, au hata ofisi.
Lakini leo — ukiwa na simu yenye intaneti, unaweza kutumia Artificial Intelligence (AI) kuanza biashara yako na kuingiza kipato bila hata kuonekana hadharani.

AI ni kama “mfanyakazi wa bure” anayefanya kazi saa 24.
Inakuandikia maandishi, inatengeneza picha, inahariri video, na hata kukupa mawazo mapya kila siku.
Kinachotakiwa ni wewe kujua jinsi ya kuitumia vizuri.



More Details!

🧠 UTANGULIZI: Kwa NINI CHATGPT NI MSAIDIZI WAKO MPYA WA INSTAGRAM

Hebu fikiria hivi 👇


Unataka kuandika caption kali, lakini kichwa kimekauka.
Unataka idea ya post, lakini hakuna inspiration.
Unataka caption, reels idea, na hashtag bora — zote kwa dakika 5 tu.

💥 Karibu kwenye ulimwengu wa ChatGPT — msaidizi wa digital ambaye hatui usingizi!
Anakuandikia captions, anapanga content calendar, anakuandalia scripts za reels, hata anakusaidia kuuza bidhaa zako bila kulipia ads kubwa.

👉 Hii eBook ni mwongozo wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia ChatGPT kuunda, kukuza, na kuuza kupitia Instagram — bila stress, bila gharama kubwa.

More Details!

Karibu kwenye eBook hii ya “Njia Rahisi za Kunasa Wateja Mtandaoni Bila Kutumia Bajeti Kubwa.”

Wajasiriamali wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi na nguvu nyingi kwenye mitandao ya kijamii—kupost kila siku, kutumia pesa kwenye matangazo, na bado hawapati matokeo wanayotamani.

Kwa sasa hii ndio list ya bidhaa zetu kwa ujumla

KUMBUKA! OFA HII NI YA MUDA MFUPI SANA, WAHI KUJIPATIA NAKALA YAKO

Jaza Taarifa Zako Hapa Ikiwa Umenunua Huduma kutoka Kwetu!

Contact and Billing Information

Billing details:

Lengo letu ni kua wahudumu wazuri daima, tunazidi kuomba utuunge mkono!